Biblia ya Kusikiliza ya bure katika Kiembu

Faith Comes By Hearing.com

Biblia za kusikiliza kwa Kiembu za bure – Biblia katika Kiembu – Upakuaji wa MP3 kwa bure

Agano Jipya kwa njia ya maigizo ya kusikia katika Kiembu ni toleo pekee la Biblia ya kusikia iliyo na takriban wahusika 180 tofauti na sound track iliyorikodiwa kwa teknolojia ya dijitali na sound effects kamili. Unaweza kupata orodha ya lugha zinginezo zinazopatikana kwenye tovuti yetu hapa http://www.FaithComesByHearing.com/.

Faith Comes By Hearing (Tumaini huja kwa kusikiliza) ilianzishwa katika mwaka wa 1972, na lengo lake ni kuleta kanisa Lake pamoja na kufanya wafuataji kutoka kila taifa, kila kabila, kila lugha, na kila umma: kumpa kila mtu uwezo wa kusikiliza Agano Jipya kikamilifu katika lugha yake ya kwao. Tunajishughulisha na kuweka kila tafsiri la Biblia katika mfumo wa kusikiliza katika kila kanisa au kijiji duniani kote ili kuwezesha watu wasioweza kusoma kukuza tabia ya kusikiliza Neno la Mungu. Watu wote, hususa asilimia 50 ambao hawawezi kusoma, wataweza kusikiliza Neno la Mungu katika lugha yao.

No comments:

Habari kutoka Faith Comes By Hearing